Tuesday, June 7

"NI KIPINDI CHA HUZUNI KWETU"

Wadau tngu juzi siku ya jumapili sisi vijana wake kwa waume ambao tulisoma na kumaliza shule ya sekondari ya YUSUF MAKAMBA ambayo ipo pande za TABATA MAKUBURI,tulikuwa na huzuni ya kuondokna mwenzetu anayeitwa JANETH MILANTONY,ni matatizo tu ya muda mfupi tu yaliyokuwa yakimsumbua ambayo yamempelekea kifo chake.Tumezika salama pande za MBEZI BEACH  leo J'4 jioni na idadi kubwa tu ya wanafunzi  ambao tuliosoma nae tuliudhuria kufanikisha shughuri nzima kwa pamoja.ILA,MBELE YAKE NYUMA YETU,MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI,ameen!

No comments:

Post a Comment