Monday, June 6

KWANINI Q CHILLAH ANASHINDWA KURUDI KAMA DULLY SYKES?

Q CHILLAH.
DULLY SYKES.
HUYU NI BONGE LA MWANAMUZIKI TUKITAZAMA TANGU ALIPOANZIA MPAKA HAPA ALIPO.AMESHATOA HIT KIBAO TU,KIPINDI KILE CHA ASEME, SIULINIKATAA,NINACHOKIPATA n.k.KIPINDI HICHO STYLE ALIYOKUWA AKIITUMIA ALIITA Q UZUNI.HATA ALIPOKUJA KUBADILIKA NA KUWA ANAFANYA STYLE ZA KURUSHA BADO AKAWA ANAKONGA NYOYO ZA FANS WAKE KAMA MWANZO KUTOKANA ALIWABAMBA SANA WAKAZI WA USWAZI KWA MANGOMA YAKE KAMA VILE,ZAIDI YA JANA,UMETOKA SEX,KAMA YULE,WEIPA NA HATA MY BOO RMX.TUMEUONA UJIO MPYA WA Q CHILLAH AMBAO UNALENGA ZAIDI SOKO LA KIMATAIFA KWANI AMEKUWA AKIIMBA NYIMBO ZAKE NYINGI KWA KUWEKA MANENO MENGI YA LUGHA YA KIINGEREZA AMBAYO KULE USWAZI KULIPO KUWA NA WAPENZI WAKE WANAKUTA HAWAAMBUI KITU,MFANO MZURI NI DULLY SYKES,AMBAYE ALISHAZOELEKA KUTOA NGOMA ZINAZOENDANA MARA NYINGI TANGU MWANZO MPAKA LEO HII KIPINDI CHA BONGO FLAVA,KWANI TUNAKUMBUKA VIZURI TU ENZI ZA JULIETHA,NYAMBIZI,MR MISIFA,SALOME,LEAH,BINJOU,HANDSOME,DHAHABU,WATASIMULIA  MPAKA SHIKIDE NA LEO BONGO FLAVA,NO VILE VILE NA NI DULLY YULE YULE ANAETAFUTA SOKO LA KIMATAIFA KATIKA MITINDO YAKE ILE ILE.KWA HIYO MAH HOMME BOY Q CHILLAH JARIBU KUWAJAJI VIZURI WATU WAKO WANATAKA NINI AMA UNAKOSEA WAPI.

No comments:

Post a Comment