Thursday, August 18

KHADIJAH KOPA IS SEX AND PRETTY MAMA..!!!

TOX STAR.

MWANAMUZIKI MKALI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TOX STAR AMBAE AMEKUWA JUU NA NGOMA YAKE YA PRETTY GAL ALIYOMSHIRIKISHA ALI KIBA,AMETOA KALI YA MWAKA PALE ALIPOANIKA HADHARANI HISIA ZAKE KWA MWANAMAMA SANJARI
WA MUZIKI WA TAARAB AFRIKA MASHARIKI,MALIKIA KHADIJA KOPA.
MALKIA KHADIJA KOPA.
KWA UJASIRI NA KUJIAMINI PIA MSANII TOX STAR ALIITUPIA ISHU HIYO KWENYE PAGE YAKE YA FACEBOOK,MANENO YENYE HISIA KALI KWA MWANAMAMA HUYU MALKIA TAARAB,HUKU AKIDAI JAPO NI MKUBWA KWAKE LAKINI NDO AMESHA'ZIMIKA KWA BI MKUBWA HUYO,NA HATA NILIPOTAKA KUUJUA UKWELI ZAIDI TOX ALIDAI ISHU IPO VILE VILE TU KAMA HISIA ILA HAKUNA CHOCHOTE KINACHOENDELEA.

No comments:

Post a Comment