Club hii imeanzishwa kwa ushirikiano wa mawazo ya Geofery Kombo, Lindu Ndullu,Hashim Rubanza, Natalia Mlula, Abbas Maunda ,Mawira Khamisi, Angumbwike Shadrack, Adam Kigida, Adan Abdul, Richard Prins, Tujanaelli Makoa, Victor Mdundo, Joyce Ngowi, Randall Seffu, Innocent sahani, Mose Mwaipaja, Lufunyo Mvungi, Amir Maftah,Adburazack Zakey,Charles Mgaya, na almaruhum BAKARI MAGOMA A.K.A PABLO.Swahil hiphop family club imeanzishwa kwa lengo la kuleta ushirikiano na kusaidia vijana wanaojihusisha na hiphop kwakupitia lugha ya kiswahil hususani Afrika mashariki ikiwa nipamoja na kutoa mafunzo kuhusu kujiamini,kujiwezesha kibiashara,na kujitangaza kitaifa na kimataifa,.Zaidi ya hayo watapata elimu kuhusu imanina mambo mengineyo mengi.
HIP HOP NI NINI?
Hip hop ni utamaduniambao mwanadamu anatumia katika shuguli zake za kila siku ambao umebeba ujumbe maalum wa kiitikadi katika kujenga jamii..
1)kimuziki
2)sanaa za uchoraji
3)kucheza aina ya midundo
4)maonyesho ya mavazi
5)kuburudisha hadhira kwa ladha tofauti ,hiphop inahistoria ndefu kwenye nchi ya Tanzania. Hip hop inanguzo zake kuu tano,
1)kimuziki
2)sanaa za uchoraji
3)kucheza aina ya midundo
4)maonyesho ya mavazi
5)kuburudisha hadhira kwa ladha tofauti ,hiphop inahistoria ndefu kwenye nchi ya Tanzania. Hip hop inanguzo zake kuu tano,
Ambazoni:
1. Kuburudishakimashairi. (EMCEE).
2. Maonyeshoyamavazi. (STREER GEAR).
3. Kuchezaainayamidundo. (B BOYING).
4. Kupiga nyimbo za Kuburudishahadhira kwa ladha tofauti. (D.JING).
5. Sanaazauchoraji. (GRAFFITI).
HABARI KWA HISANI YA BLOG YA NDOTOZAMTAANI.
No comments:
Post a Comment