MSANII WA SIKU NYINGI KUNAKO GAME LA BONGO NA MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI AKA Mr TWO APIGA MARUFUKU FIESTA KUFANYIKA KATIKA MKOA WA MBEYA KWA KUDAI KUA VIJANA WA MBEYA HAWAITAJI BURUDANI ADAI HATAKI KUSIKIA UPUUZI UNAITWA FIESTA NA ISIJE ANAAPA...AKIDAI NI MAADUI WA SANAA SO VIJANA WA MBEYA WAMESEMA HAWATAKI NA ATAHAIKIKISHA HAIFANYIKI.
No comments:
Post a Comment